![](http://2.bp.blogspot.com/-xWx4fNhWxm4/VBKD5ZqT0-I/AAAAAAAAmhQ/YT-L27RTJ3k/s400/NYAMWELA.jpg)
RAIS
wa Chama cha Wacheza Shoo wa Muziki wa Dansi Tanzania, anayepiga mzigo
na Bendi ya Extra Bongo, Hassan Musa ‘Nyamwela akiwa na mkewe aitwaye
Hawa.
Akipiga stori na Ijumaa
hivi karibuni, Nyamwela alisema popote aendako lazima utamuona mkewe
pembeni lengo ni kuondoa maswali mengi pindi anaporudi nyumbani usiku
mkubwa.
Nyamwela!
“Unajua shoo huwa tunamaliza saa tisa hadi nifike kwangu naweza
kufika saa kumi na robo au na nusu sasa hapo lazima anibane na maswali
ya kwa nini nimechelewa. Kimsingi shemeji yenu ana wivu sana ndiyo maana
kila sehemu niko naye,” alisema Nyamwela.
0 comments:
Post a Comment