Mwanamuziki
wa Bongo Flava Jux Amezikana Tetesi kuwa Wimbo wake Mpya 'Sisikii'
amemuimbia Vanessa Mdee ambaye inasemekana kwa sasa ni Wapenzi. Jux Ameiambia
blog hii kuwa Nyimbo zake zote alizowahi kuzitoa sio maalum kwa ajili
ya mtu bali amezitunga tu na hazihusiani na Maisha yake.
Ikumbukwe pia wimbo Nitasubiri kulikuwa na Tetesi kuwa Amemuandikia Jack Cliff ambae yupo Jela Huko Macau, China!
0 comments:
Post a Comment