Wednesday, September 17, 2014
Home »
» Mwingine aliyejichora tatoo kwa ajili ya star huyu wa Bongo Fleva.
Mwingine aliyejichora tatoo kwa ajili ya star huyu wa Bongo Fleva.
Tunaona mashabiki kadhaa ambao kwa love yao hubandika picha za mastar wao wanaowapenda kwenye vyumba vyao wengine hujiita hata jina la star anayempenda na wengine wakipata nafasi ya kuonana na star ampendaye huwa radhi kuandikwa hata juu ya Tshirt yake jina la star huyo.
Kutoka Yamoto Band Dogo Aslay ameingi kwenye headline za kuchorwa tatoo ya jina lake na shabiki wake wa kike ambaye alimpost kupitia akaunti yake ya Instagram kisha akamtoa.
Soudy Brown anapiga stori na Aslay kufahamu kama wana uhusiano wowote na shabiki yule wa kike aliyejichora tatoo ile.
0 comments:
Post a Comment