Mchakato wa kumtafuta super nyota diva kutoka shinyanga umekamilika leo
hii katika club inayoitwa Butiama iliyoko shinyanga na kumpata
atakaewakilisha mkoa huo ambae ni Amina Issa.
Shughuli hiyo imekamilishwa na majaji watatu ambao ni fetty, Dj hunter
(mtangazaji wa Faraja Fm) na Chuse (producer, this is one records)
Amina atajiunga na washindi wenzake kutoka sehem mbali mbali jijini dar
kwa ajili ya kukamilisha fainali na mshindi kufanya collable na diamond
pamoja na recording zaidi.
Amina ambaye ni mshindi... |
0 comments:
Post a Comment