Unaambiwa
hii inaitwa Zbee na inatumia nguvu ya umeme kutembea, ikiwa ni njia
nyingine ya kupunguza uharibifu wa mazingira… ambapo pia betri yake
inachukua muda mfupi kuchajiwa na kujaa.
Uwezo wake wa abiria ni kubeba watu watatu na huwa inahitaji service
ndogo sema hii ni kwa ajili ya safari fupifupi za town ambapo pia
kuchaji betri yake ikajaa inaweza kukupeleka kwenye safari ya umbali wa
kilometa 50.
Zbee ambayo imekua ikitumika sana nchini Sweden ambako ndiko ilikoundiwa, inafahamika kama usafiri binafsi wa kufanyia shopping.
Wednesday, September 17, 2014
Home »
Maxwellpain.blogspot.com
» Kutana na ‘Bajaji’ yenye swagg! inatumia umeme…
0 comments:
Post a Comment