Search This Blog

Thursday, September 18, 2014

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MUDA MFUPI KATI YA POLISI NA WAFUASI WA CHADEMA DAR

Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limetumia mbwa na virungu kuwatanyama mamia ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Manendeleo Chadema ambao walifurika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa lengo la kumsindikiza Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye aliitwa kwa mahojiano.

0 comments:

Post a Comment