Profesa Jay ambaye ni baba wa mtoto Lissa amekubali kuongea na Soudy Brown kuhusu mwanamke anayetegemea kumuoa kwa siku za usoni na kusema kuwa kama Mungu atajaaliwa anategemea kumuoa Mama Lissa ambaye ni mzazi mwenzake.
Monday, September 8, 2014
Home »
» HATIMAYE PROFESA JAY AFUNGUKA KUHUSU MWANAMKE ATAKAYEMUOA! MFAHAMU HAPA...!
HATIMAYE PROFESA JAY AFUNGUKA KUHUSU MWANAMKE ATAKAYEMUOA! MFAHAMU HAPA...!
Profesa Jay ambaye ni baba wa mtoto Lissa amekubali kuongea na Soudy Brown kuhusu mwanamke anayetegemea kumuoa kwa siku za usoni na kusema kuwa kama Mungu atajaaliwa anategemea kumuoa Mama Lissa ambaye ni mzazi mwenzake.
0 comments:
Post a Comment