![](http://1.bp.blogspot.com/-lUmlWx4EvN0/VBJ9vGW14zI/AAAAAAAAmgA/NT77BDVPv5Y/s400/IMG-20140911-WA0037.jpg)
TAARIFA ZA AWALI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: (Pichani Juu) Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma . Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa!
0 comments:
Post a Comment