This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
Sunday, August 31, 2014
Post Ya Shakira Kuhusu Mtoto Wa Pili Na Gerard Wa Barcelona
Huyu ndio mshindi wa Super Nyota Diva kutoka Moshi
Saturday, August 30, 2014
Home » stori kubwa » Uliipata hii ya Wanafunzi Kenya kupelekwa Mahakamani baada ya kukutwa wamelewa? Uliipata hii ya Wanafunzi Kenya kupelekwa Mahakamani baada ya kukutwa wamelewa?
Ripoti mpya iliyotolewa na Mamlaka ya kudhibiti vileo nchini Kenya (NACADA) inaonyesha kwamba ni watoto zaidi ya MILIONI MOJA nchini humo wenye umri kati ya miaka 14-17 ambao ni watumiaji wakubwa wa pombe na dawa za kulevya.
Kenya Julius Kepkoech amesema mwenyekiti wa NACADA John Mututho ameisema hii wakati alipowatembelea Wanafunzi 16 waliokamatwa wakiwa wamelewa mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo sasa wamefikishwa kwenye Mahakama ya Baricho.
Hakimu mkuu wa Baricho Hezekiah Keago ameamuru Wanafunzi hao baadhi kurudishwa mikononi mwa wazazi ili kufanyiwa ushauri nasaha lakini pia vilevile Wanafunzi wengine waliobakia kati ya hao wamehukumiwa kwenda jela ya Watoto Muranga.
Ushahidi uliotolewa Mahakamani umeonyesha kwamba hawa Wanafunzi ambao wamekamatwa kwa ishu ya pombe, walihusika kuinywa pia pombe iliyopigwa marufuku nchini Kenya ambayo ina kemikali hatari kwa afya na iliua zaidi ya watu mia moja.
Maneno ya Rais Kikwete kuhusu ‘Urais’ wa January Makamba @JMakamba
Amenukuliwa akisema
Add caption |
Add caption |
Hapa chini kuna video ya dakika 3 ikionyesha sehemu ya kazi zake Naibu waziri huyu ambae pia ni Mbunge wa Bumbuli kupitia CCM.
Uliona alichopost msanii Tunda Man kuhusu Edward Lowassa? kiko hapa
Ya kwanza ni hiyo hapo juu akiwa kasimama mbele ya mabango yanayomuhusu Mbunge wa Monduli Edward Lowassa anaetajwa sana kuhusu Urais wa Tanzania 2015 ambapo kwenye maelezo ya hiyo picha Tunda Man aliandika ‘fotmation yetu ni 4-4-2′
Sababu inayosemekana ya Babu Tale kumsimamia Shilole kikazi kwa sasa ni hii.
Deni ambalo linasemwa kuwa Babu Tale alilipa ni la gari ambalo alikua akidaiwa Shilole hivyo wakakubaliana kuwa watakua wakikatana kwenye show tofauti mpaka deni hilo litakapoisha.Habari hii inaendelea page news
Friday, August 29, 2014
Shinji Kagawa njiani kuondoka Man United – hii ndio klabu anayoenda
Alichojibu Ronaldo kuhusu Di Maria kujiunga na Man Utd na kupewa jezi namba 7
Je Toni Kroos ndio kamkimbiza Alonso Madrid? Xab Alonso ajibu.
Boss wa TBS aliyehukumiwa kwenda jela miaka mitatu.
Thursday, August 28, 2014
Huyu Rapper Aliyejisalimisha Polisi Na Makosa Anayokabiliwa Nayo.
Kinachosemekana kutoka kwa Jokate na Ommy Dimpoz kwa sasa #LOVE
#Breaking News:Emmanuel Okwi arudi Simba.
Good news!! hivi ndivyo makundi ya Champions League yalivyopangwa
Wednesday, August 27, 2014
NEIL WARNOCK MENEJA MPYA CRYSTAL PALACE
Baada ya wawili kufa kwa Ebola Congo DRC, Mkuu wa mkoa Kigoma ametoa hii
Taarifa hizi zimeendelea kuwashtua na kuwafanya majirani kuzingatia tahadhari ambapo mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya amesema ‘pamoja na tishio la ugonjwa huu kwamba uko DRC Congo lakini DRC ya mbali sana kule kaskazini wanakopakana na Afrika ya kati na Sudan, tumeanza kuchukua tahadhari kwenye mipaka yetu manake binadamu wanatembea na maingiliano ni makubwa’
‘Kuanzia leo nimemuagiza katibu tawala wa mkoa magari yote yenye uwezo wa kubeba vipaza sauti usiku au jioni watu wamesharudi nyumbani yapite kutangazia Wananchi kwa muda wa siku tatu mfululizo licha ya kuweka vipeperushi’ – Machibya.
John Ndunguru ambae ni katibu tawala wa mkoa amesema ‘Kwenye hospitali zetu wameshatenga chumba maalum kama atatokea mgonjwa yeyote manake inabidi Wagonjwa hawa wawekewe kinga au wigo kwa siku 48, vilevile wizara ya Afya imeahidi kutuletea vifaa vya kutosha hasa vya kinga na dawa mbalimbali, tayari maafisa Afya wako hata uwanja wa ndege kukagua kila anaeingia’
Everton amesaini mkataba wa miaka miwili ambapo nahodha huyu wa timu ya taifa ya Cameroon ameripotiwa kusononeshwa na uhamisho wake kwenda Liverpool kufeli wakati akiwa tayari alishafanya mpaka vipimo vya afya.
kwenye sentensi nyingini ni kwamba Eto’o anatarajiwa kuanza kuichezea Everton weekend hii kwa mechi dhidi ya Chelsea ambayo aliitumikia msimu uliopita.
Abiria wahangaika mgomo wa Tazara ukianza
Kwa majibu wa mwandishi wa BBC Baruan Muhuza ambaye yupo safarini kuelekea Kapiri Mposhi Zambia akitumia train ya TAZARA, mgomo huo umesababishwa kukwama kwa train hiyo kuendelea na safari yake hadi kufikia jioni hii.
MSIMAMO WAO
Amesema train ya abiria kutoka Dar es Salaam ilifika mjini Mbeya saa 4.30 asubuhi na hapo wafanyakazi hao waliipokea train hiyo kwa wimbo wa Solidarity forever.
Wafanyakazi hao wameiambia BBC kuwa wanailalamikia Serikali ya Tanzania kwa kuwapuuza madai yao huku serikali ya Zambia ikiwalipa wenzao wa upande wa pili.
Kwa muda mrefu TAZARA imekuwa katika kipindi kigumu cha uendeshaji wa shughuli zake kutokana na kukosa ruzuku ya serikali zote mbili.
TRENI KUISHIA MPAKANI
Mpango huo ndiyo kwanza umeanza kwa train ya abiria iliyoondoka jana Jumanne Dar es Salaam na nyingine ikitoka New Kapiri Mposhi na zitakutana mpakani baadae leo jioni.
Kwa mpango huo wasafiri wanaokwenda upande wa pili wa nchi nyingine watalazimika kushuka na kuingia kwenye train nyingine.
BBC inafuatilia kuona mchakato wa kuhamisha wasafiri hao utakavyokuwa, kwa kuzingatia miongoni mwa wanaosafiri kuna watoto, wazee vikongwe, wajawazito, Lakini pia kunakuwa na walemavu na wenye mizigo mingi.